Posts

Showing posts from June, 2024

MBINU ZA KUCHELEWA KUFIKA KILELENI

Image
 Kuna mbinu kadhaa ambazo mwanaume anaweza kutumia ili kuepuka kufika kileleni mapema wakati wa tendo la ndoa:👇👇 1.Mazoezi ya Kigeli: Kufanya mazoezi ya kibofu (Kegel exercises) yanaweza kusaidia kuimarisha misuli inayohusiana na udhibiti wa mshindo/kufika kileleni mapema. 2. Mbinu ya 'Stop-Start': Kujizuia kufika kileleni kwa kusimamisha tendo la ndoa kwa muda mfupi na kisha kuanza tena. 3. Mbinu ya 'Squeeze': Kukandamiza sehemu ya chini ya kichwa cha dhakari mara tu unapohisi karibu kufika kileleni inaweza kusaidia kuchelewesha mshindo/kufika kileleni. 4. Kuchukua Mapumziko: Kuchukua mapumziko wakati wa tendo la ndoa na kuhamishia mawazo kwenye kitu kingine ili kupunguza msisimko. 5. Mabadiliko ya Mtindo/style: Kuwa na mabadiliko ya mara kwa mara ya style za kufanya mapenzi ili kupunguza kasi na kuongeza udhibiti. 6. Kutumia Lubricant Yenye Kudhoofisha Hisia/Sio mate: Baadhi ya mafuta ya kulainisha yasiyo na kemikali na athari kwa ngozi yana dawa ambazo hupunguza h...

Madhara ya kupiga punyeto

Image
  MWANAUME ACHA KUPIGA PUNYETO INA MADHARA MAKUBWA KWA AFYA YAKO YA UZAZI Madhara Ya Kupiga Punyeto👇 👉Mishipa midogo midogo  ya uume udhoofika, na kujaa mafuta ndani yake badala ya damu ambayo kazi ya damu katika mishipa hiyo midogo ni kuleta shorti ya uume kusimama,kuwa imara na hamu ya tendo la ndoa 👉Uume huwa mdogo na kurudi ndani  👉Mwili kuchoka mara kwa mara  👉Uume kuwa kama rungu mfupi na kushindwa kufanya kazi yake vizuri 👉Uume hupelekea kutosimama na ukisimama unasimama kwa muda mfupi na kulala 👉Kupoteza hamu ya tendo la ndoa 👉Kujisikia hatia na aibu 👉Kuvuruga uzalishaji wa homoni za kiume mwilini 👉Kupungua kwa idadi ya mbegi za kiume  👉Kusababisha michubuko kwenye uume 👉Kutoka mbegu bila kujizuia(fistula ya mbegu za kiume) 👉Hupelekea uume kupinda Pia hupelekea kuharibu mfumo wa uzazi wa mwanaume. Kwa matibabu na ushauri Wasiliana nami WhatsApp/piga simu:+255784224643🇹🇿🇹🇿 Follow me up on Instagram 👇  @kassimu_health_care